Mwevure ni mvivu kupindukia, jambo linalomfanya aishi maisha hohehahe. Hata hivyo anaishia kuwa mfalme wa nchi yake. Hili latokea vipi? Hiki ni kitabu cha kusisimua kusoma
続きを見る
Habari ziliponea kuwa Bi. Mlima Kenya anakaribia kujifungua, mbiu ilipigwa, na wanakijiji pamoja na wanyamapori wote wakakusanyika kushuhudia tokeo hilo mahsusi. Muda si muda wakati ukawadia; akajif……続きを見る
Sungura amejenga nyumba maridadi ili aweze kufanya harusi yake humo. Lakini kuna adui aliyekatalia ndani. Anatafuta usaidizi kwa wanyama wenzake lakini wanashindwa kumfukuza. Atafanya nini?
続きを見る
Simba ana njaa kali. Anataka kumfanya Swala kitoweo chake. Wote wanaomba kwan unyenyekevu na uvumilive, "Mungu nisaidie." Ni nani atapata kusaidiwa? Chunguza kujua nini kinatokea kwa Simba, Mungu al……続きを見る
Ni wakati wa Mfalme Uju wa nchi ya Lembe kumwoza bintiye Fani. Ushindani wa uchumba ni baina ya Sungura na Kobe. Nani atalishinda pendo lake Fani? Ni mbinu gani atazitumia kufaulu? Chunguza kujua ni……続きを見る