Mwanga wa Kisarufi ni kitabu ambacho kina maswali yote ya Kiswahili. Kama vile maswali ya ngeli, viambishi, aina za maneno, aina za sentensi, vitawe, uchanganuzi na mengine mengi.
続きを見る
Ramani ya Kiswahili ni kitabu ambacho kimeshughulikia mambo yote kuhusu sarufi kama vile ngeli za maneno, aina za sentensi, kuchanganua sentensi, aina za sauti, vitate, vitawe, visawe, viambishi.
Ke……続きを見る